CHEE LIVE: NAFASI YA WASANII WAPYA. Hii ni orodha ya Mastaa wa Bongo Movie waliyopoteza majina yao ya asili, kutokana na sanaa. Alianza kulitumia wakati alipojiunga na Kundi la Sanaa la Kaole. Hadi leo hii, siyo rahisi kabisa mtu kutokea na kumuita jina la Elizabeth, wengi wanamfahamu kwa jina la Lulu. RAYRay ndiyo jina ambalo limezoeleka na wengi. Vincent Kigosi alilopewa na wazazi wake ni kama limekufa. Katika hali isiyokua ya kawaida na kushtua mtandao huu wa maskanibongotz umenasa picha za aibu za wasanii chipukizi wa Bongo Movie. Hawa Ndio Wasanii Wataalam wa Picha za Utupu Bongo. Ni bonge la . Washangaza Watu Kwa Kutumia Majina ya Zari na Wema. Kwa zaidi ya miaka kumi sasa tangu alipokuwa kwenye Kundi la Sanaa la Kaole hadi sasa. Jina la Ray ndiyo watu wanalolifahamu zaidi ingawa hivi karibuni baadhi ya wasanii wenzake wamekuwa wakijaribu kumuita Vincent ili kurudisha uhai wa jina hilo. JOHARIJina lake halisi ni Blandina Chagula. Johari lilizaliwa kwenye Tamthiliya iliyobeba taito ya jina hilo. Akiwa katika Kundi la Kaole, alianza kujiita Blandy, baadaye alibadilisha jina hilo na kuwa Johari walipoingiza tamthiliya hiyo ambayo pia ilizaa filamu.“Kuna wakati huwa najuta kutumia jina la a. Johari. DK. CHENIAmeanza gemu kitambo, tangu Kundi la Splended. ![]()
Hakuna anayelitumia, hata yeye mwenyewe. Jina hilo lilizaliwa baada ya mazoea yake ya kupenda kuvaa cheni kubwa kwenye michezo iliyokuwa ikirushwa Runingani, kwa sasa wengi wanashindwa hata kulitamka jina lake. ODAMAJina lake halisi ni Jenniffer Kyaka, limekufa kabisa kwa sasa. Wengi wanamfahamu kama Odama jina ambalo alilipata kwenye filamu iliyoitwa Odama miaka sita iliyopita. Tangu ilipotoka filamu hiyo hadi leo, jina la Odama limegeuka kuwa ndiyo la asili. BATULIJina alilopewa na wazazi wake ni Yobnesh Yusuf lakini wengi hawalijui. Marehemu Rose Thomas alikuwa mwigizaji wa filamu za Kitanzania (Bongo Movie) kwa kipindi kirefu sana. Kuna baadhi ya filamu ambazo amecheza na wasanii wengine kama. Magufulika staili kama kawa,hata baadhi ya wasanii nyota wa Bongo Movie hapa nchini wakiongozwa na Nnape Nnauye (pili shoto) walikumbwa na zoezi hilo jioni ya leo. Harusi ya wasanii wawili wa bongo movie waliovyosherehekea ukumbini. Wasanii wa bongo movie wafanya madudu. ![]() Alianzia kuigiza katika Kundi la Kaole. Alianza kujiita Nesh, baadaye akabadilisha na kujiita Batuli baada ya kucheza filamu ya . Aliitwa Bonge la Bwana, Mtumishi, Eric Ford na mwisho jina la JB likasimama katika akili za watu. Mwenyewe anasema jina la JB analipenda sana, kuna wakati hata yeye huwa anasahau kabisa kama anaitwa Jacob. NORAJina lake halisi ni Nuru Nassoro. Takriban miaka kumi iliyopita baada ya kujiunga na Kundi la Kaole, jina la Nuru limekufa kabisa. Familia yake nzima wanatumia jina la Nora na si Nuru tena, amelikubali na analipenda kutoka moyoni mwake. RICHIE RICHIEHuyu naye ni msanii wa muda mrefu, jina lake halisi ni Single Mtambalike. Wengi hawalifahamu jina lake halisi. Wanamuita Richie Richie utadhani ndiyo alilopewa na wazazi wake, jina hilo alipewa takriban miaka kumi na tano iliyopita akiwa na Kundi la Nyota Ensembles. CATHYHuyu anaitwa Sabrina Rupia, Cathy lilikuja katika michezo kipindi hicho akiwa katika Kundi la Nyota Ensembles. Limeendelezwa hadi leo na kipo kizazi ambacho hakilifahamu kabisa jina la Sabrina zaidi ya Cathy.
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. Archives
September 2017
Categories |